Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
kutapika hutokea pale akili inaposense kwamba kuna sumu imeingia mwilini. kwahiyo kutapika ni njia ya kutoa sumu mwilini. kuna wale hutapika wanaposafiri. hii hutokea kwasababu sehemu ya ubongo huona kama mpo kwenye mwendo na nyingine inaona kama hampo kwenye. mwisho ubongo unaamua kuwa unaona maluweluwe/hallucination. maluweluwe ni dalili kubwa ya uwepo wa sumu mwilini. kwahiyo ubongo utasema tunaona maluweluwe hivyo kutakuwa sumu mwilini na utaamuru itoke kwa kutapika.
kujizuia kutapika safarini nunua dawa ambazo utatumia kabla ya safari na pia jitahidi kukaa dirishani ukiangalia miti inavyorudi nyuma.
kujizuia kutapika safarini nunua dawa ambazo utatumia kabla ya safari na pia jitahidi kukaa dirishani ukiangalia miti inavyorudi nyuma.