Unajua kwanini watu hutapika?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
kutapika hutokea pale akili inaposense kwamba kuna sumu imeingia mwilini. kwahiyo kutapika ni njia ya kutoa sumu mwilini. kuna wale hutapika wanaposafiri. hii hutokea kwasababu sehemu ya ubongo huona kama mpo kwenye mwendo na nyingine inaona kama hampo kwenye. mwisho ubongo unaamua kuwa unaona maluweluwe/hallucination. maluweluwe ni dalili kubwa ya uwepo wa sumu mwilini. kwahiyo ubongo utasema tunaona maluweluwe hivyo kutakuwa sumu mwilini na utaamuru itoke kwa kutapika.

kujizuia kutapika safarini nunua dawa ambazo utatumia kabla ya safari na pia jitahidi kukaa dirishani ukiangalia miti inavyorudi nyuma.
 
Wapi source? Au ni utafiti binafsi? maana hapo mwisho kwenye kukaa dirishani na miti kurudi nyuma..!
 
Wapi source? Au ni utafiti binafsi? maana hapo mwisho kwenye kukaa dirishani na miti kurudi nyuma..!
red giant sanitarium clinic. kucheki miti ikirudi kunafanya ubongo uone motion iko real zaidi. ndiyo maana madereva huwa hawapati motion sickness.
 
Du wabongo kila kitu wanataka source.... Hata kama mtu kaandika kitu chenye msaada kwao.... Namna hii hatutafika.....
 
red giant sanitarium clinic. kucheki miti ikirudi kunafanya ubongo uone motion iko real zaidi. ndiyo maana madereva huwa hawapati motion sickness.

We zimetimia kweli?
Ndo njia mpya ya kutangaza dawa zako zinunuliwe?
 
NIMEJIFUNZA KITU

HAO WANAOTAKA SOURCE waambie wagoogle.....
 
Nikiwa mdogo nilikua sitaki kabisa kuona miti inarudi nyuma ndo nilikua natapika mbaya kabisa
 
Kwa hiyo sisi ambao hatutapiki ubongo wetu huwa hauoni maluweluwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…