wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,172
- 1,128
Mie mgeni mpaka muda huu bado hajaelewauna moyo sana mkuu, ina maana alikuwa hajaelewa kweli au ni kwa sababu tuko huku
nauliza tu
hongera kwa huo moyo, ataelewa tu akikua usimharakishe mkuu
= confused
Kiufupi,,,jamaa kachepuka,wife nae kachepuka,mbaya kabisa wife ansema yuko na rafiki yake ambae ndio mchepuko wa hubbyAtakuwaje na rafiki yake wakati huyo rafiki yake ndo huyo hapo yuko kona??....mleta uzi akapimwe jasho
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Basi nishaelewa...kumbe hapo ngoma drooWe ndo unatakiwa ukapimwe [emoji3][emoji3] inamaanisha mke anadanganya kuwa yuko kwa rafikiwe kumbe ni uongo [emoji48]we si ulisema hujaelewa kweli hujaelewa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo naona hii level ni kubwa sana kwako usipo angalia utatukana na baba zako hapa!Atakuwaje na rafiki yake wakati huyo rafiki yake ndo huyo hapo yuko kona??....mleta uzi akapimwe jasho
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ulinitolea povu la nini?
Dia udigwe!Hahahahaha hapo ndo kile kifurushi pendwa kabisa kula uliwe