Unajua Madhara ya Dawa za Kusimamisha Uume Kwa Muda Mrefu?

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
2,818
Reaction score
3,730
Unajua Madhara ya Dawa za Kusimamisha Uume Kwa Muda Mrefu?

Kuna baashi ya wanaume wanatamani wakati wakiwa wanafanya mapenzi na wenzi au wapenzi wao basi uume zao ziwe zinasimama muda mrefu mathalani masaa matatu au manne au zaidi huku wakimwaga shahawa eti tu wawaridhishe wenzi wao au ili waonekane ni wanaume waliokamilika.

Wanaume wengine wamekuwa wakitumia dawa za kusimamisha uume kama vile viagra au dawa za asili na zingine maarufu kama dawa za kimasai! Napenda nikwambie kwamba hizo dawa zina madhara makubwa kwa urijali wako na uko hatarini kuupoteza hata huo urijali mdogo uliosalia!

Kusimamisha uume kwa muda mrefu na mara nyingine kiasi cha kufikia uume inaanza kuuma kutokana na kusimama muda mrefu tayari ni ugonjwa. Kwa maneno rahisi ni kwamba umetumia dawa za kuongeza nguvu ili kuua nguvu chache ulizokuwa nazo. Kitalaamu hali hiyo ya uume kusimama muda mrefu na kuuma inaitwa 'Priapism'. Priapism hutokea pale uume inapopoteza uwezo wake wa kuondoa damu iliyoko kwenye uume hiyo (ambayo hufanya isimame) ili isinyae (in order to become flaccid).

Hiyo hali ikidumu kwa muda wa masaa manne husababisha seli za damu iliyoko kwenye uume kukosa hewa ya oksijeni, hivyo kupelekea tishu katika uume kufa. Na kadri hali hiyo inavyoendelea hupelekea damu kwenye uume kuwa na asidi na hivyo kukosa uwezo wa kusafiri au kutembea kwenda sehemu zingine za mwili hususan kwenye moyo! Hapo hali inakuwa mbaya sana!

Kuna wanaume wengine wanaji-overdose viagra au madawa ya kienyeji ili wawe wanaume shababi kwelikweli kumbe ndio wanaua uume zao. Ndio maana watu wanaotumia madawa hayo baada ya muda fulani hali zao za kiume zinakuwa mbaya zaidi afadhali ya jana! Ndio maana humu katika blog nimesisitiza sana matumizi ya vyakula na viungo kama tiba ya tatizo la ngivu za kiume! Siwashauri kutumia hayo madawa, otherwise, keep using them for your own risk!

Bahati mbaya au vyovyote vile kama umesimamisha uumemasaa kadhaa hakikisha katika kipindi cha ndani ya masaa manne tafuta tiba haraka kwa daktari! Wengine baada ya kutumia hayo madawa na uume kusimama kama msumari masaa mengi wao hudhani dawa ni kufanya mapenzi masaa mengi na mwanamke ili kuondokana na hali hiyo! Tena wengine ndo hufurahia eti 'leo mwanamke fulani nitamfaidi kweli...'.

My brother you are killing yourself'!!! Hutoweza kumkomoa mwanamke kwa kufanya mapenzi! Matibabu ya tatizo hilo ni kunyonya damu kwa kutumia sindano itakayochomwa kwenye mshipa wa damu uitwayo vein kwenye uume yako! Mwisho nakushauri kula sana vyakula vya asili kama matunda na mboga za majani. Usisahau mazoezi ya viungo

Chanzo: Muungwana blog
 
You have spoken the truth mkuu. Kusimamisha uume mida mrefu sio sababu ya kumridhisha mwanamke kimapenzi; What if mwanamke uliyenae hana hisia zozote nawe, anakutana nawe kimwili ili kukuridhisha? Wazani kusimamia show muda mrefu ndio itambadilisha mawazo zaidi yakumfanya awe anaumia tu? What if ana hisia kali juu uako na akishafika kileleni baada ya muda mfupi hana hamu ya kuendelea na tendo? Je utambadilishaje kama hormones zake baada ya muda mfupi baada ya tendo zinasinyaa?
All in all nguvu asili ulizonazo, vyakula stahiki na mazoezi ndio nguzo kuu ya kufurahia mapenzi katika maisha yako.
 
mi nazani hakna tiba nzur km kujua kwanza sababu ya wewe kutokua na izo nguvu za kiume then anza kutibu kwanza izo sababu, mf kam punyeto basi acha kwanza iyo punyeto then kula vyakula vya kutia nguvu n fanya mazoez hakika nakuhakikishia ndani ya mwezi 1 au miwili utakua imara zaid ya simba na utaweza kusimama ata kwa lisaa lizma kw nguvu zako za asili 2.
nachangia hoja
 
mnaweza kusimamisha hata? dakika mbili inasimama inapumzika masaa 2
 
mnaweza kusimamisha hata? dakika mbili inasimama inapumzika masaa 2
You better try a person who thinks positively about how to make a wuman satisfied on bed bila hayo madawa ya kuongeza nguvu.
 
Nyie jidanganyeni na nguvu zenu za asili,unakaa juu sekunde umemwaga mashine kugain momentum lisaa lizima uone kama demu atarudi tena
Tatizo sio mpenzi atarudi tena tatizo ni akirudi utakuwa utakuwa n'a nguvu tena za kumsimamisha huo muda unaotaka ? Maana kadiri unavyotumia hizo dawa ndio zinakuzoea at the end hazitafanya kazi tena kwa ile dozi uliyoizoea utaongeza dozi mwisho mambo yatagoma kabisa kumbuka kila kitu kimeumbwa kufanywa kwa kiasi "Too much is always Harmful brother "!
 
Kwa nyongeza sababu za kushindwa kufikia lengo ni more of psychological kuliko physical, je Uko tayari Kwa tendo au unafanya kuonyesha uanaume wako, je unaridhika na partner wako au unafanya ukiwa na wasiwasi wa afya yake nk, je huna disturbance yeyote mentally sio unafanya halafu unaweza kodi ya nyumba imeisha. Baada ya hapo unakuja physical Huna Uchovu, hauumwi, Haujalewa kupita kiasi ? Na mwisho ni frequency za sex Kwa siku au wiki the more the frequency inaambatana na poor Performance wanawake wanatujua sana utasikia anakwambia leo ulivyofanya kuna sehemu umefanya Kabla !
 
Lakini nitakuwa nishaweka historia tayari
 
haya wale wazee wa vumbi la kongo hebu acheni hayo makitU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…