๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐˜€๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐˜๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฐ๐—ต ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—ž๐—ฎ๐—น๐—ถ ??

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐˜€๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐˜๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฐ๐—ต ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—ž๐—ฎ๐—น๐—ถ ??



Utafiti mpya umebaini kuwa mikanda ya saa za kisasa (smartwatch) zimejaa kemikali zenye sumu isiyoondoka kwenye mwili wako(forever chemicals).

Sumu hiyo ya PFHxA inaweza kutolewa kwa urahisi kutoka kwenye uso wa mikanda ya saa iliyotengenezwa kwa fluoroelastomers, ikisababisha uwezekano mkubwa wa kuhamia kwenye ngozi kupitia jasho na kuleta madhara kwa mvaaji.



PFHxA upelekea sababu kubwa ya kupata kansa na madhara kwenye mwili wa Watumiaji wengi wa smartwatch Kwani wengi wao hawasomi kwenye taarifa za mikanda huwa imeandikwa ina fluoroelastomer.



Hii sio mikanda salama kwa mtumiaji! Ni sumu ambayo haiwezi kuondolewa kwenye mwili kwa urahisi endapo ikiingia kwenye mwili.



Iwapo mtumiaji anatamani kununua mkanda wa bei ya juu, tunapendekeza asome maelezo ya bidhaa na kuepuka zile zilizoainishwa kuwa zina fluoroelastomers.

Pendelea kutumia mikanda ya
  • Ngozi
  • Stainless steel
  • Fine Woven
  • Sport Loop za carbon neutral



Kama unatumia Apple Watch, soma kwenye details kuna mikanda itaona kuna alama ya "Carbon Neutral" katika mikanda ambayo ni salama isiyo na fluoroelastomer.
 

Attachments

  • 7_20241222_122219_0006.png
    221.1 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ