Unajua ni kwa nini wayahudi wengi sana matajiri sana dunia nzima? Watanzania tuwaige

Unajua ni kwa nini wayahudi wengi sana matajiri sana dunia nzima? Watanzania tuwaige

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Sio rahisi sana kumkuta myahudi maskini ni vigumu mno sababu zake hizi hapa watanzania tuwaige

 
Mbona wapo masikini wa kutosha tu mkuu.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sio kweli Maskini wao huishi kitajiri kwenye vijiji vya ujamaa vinaitwa Kibutz

Kila kitu hupewa bure na kijiji na wote hulipwa mishahara sawa

Angalia vijiji hivyo vya ujamaa vinavyofanya kazi

 
Back
Top Bottom