Unajua nini kinatokea Mama mjamzito akitumia kilevi

kirabe

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2015
Posts
434
Reaction score
300
Alcohol inaweza kupita kwenye damu ya mama na kumfikia mtoto...

Madhara yake ni huwa inaathiri ukuaji wa chembe hai za ubongo, chembe hai za uti wa mgongo na chembehai nyingine za mtoto mwilini..

Hii ni kutokana na mtoto kutokua na uwezo wa kupambana na alcohol sababu ini linakua bado halijatengemaa kwa kazi hio.
 
Alafu anaibuka mmama, anajisifia mimi huwa nikiwa mja mzito huwa napendaga sana bia, watoto wakimzingua anatumia zaidi bakora.
 
Alafu anaibuka mmama, anajisifia mimi huwa nikiwa mja mzito huwa napendaga sana bia, watoto wakimzingua anatumia zaidi bakora.
uyo anajisifia ujinga, hio sababu ya uelewa mdogo.
 
Alafu anaibuka mmama, anajisifia mimi huwa nikiwa mja mzito huwa napendaga sana bia, watoto wakimzingua anatumia zaidi bakora.
atakuwa hajui madhara ya kunywa pombe akiwa mmjamzito
 
!
!
matokeo yake wote watalewa acha uongo.
 
Vipi kwa anayenyonyesha?
Ina madhara pia..

Maana wataalamu wana sema kiwango kitakacho kuwepo kwenye maziwa hakitotofautiana sana na kile kilichopo kwenye damu...

Sasa huwa na madhara kwa mtoto maana yeye anakua bado uwezo wake wakupambana na sumu ni mdogo
 
Kwa nini unywe bia wakati una mimba?????

Kuna wanawake wana roho aisee
 
Ina madhara pia..

Maana wataalamu wana sema kiwango kitakacho kuwepo kwenye maziwa hakitotofautiana sana na kile kilichopo kwenye damu...

Sasa huwa na madhara kwa mtoto maana yeye anakua bado uwezo wake wakupambana na sumu ni mdogo
Oh okay...thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…