Unajua nini maana ya Alama (Nembo) ya Biashara na Huduma?

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,811
Reaction score
3,888

​

Jinsi ya kusajili Alama yako ya Biashara au Huduma Usajili unafanyika kupitia mfumo rasmi wa BRELA (ORS). Kwa Watanzania, unahitaji NIDA, barua pepe na namba ya simu. Makampuni yanapaswa kutumia NIDA ya mfanyakazi mmoja. Wageni wanapaswa kutumia mawakala waliopo Tanzania.

👉 Vigezo muhimu vya kupitisha Alama (Logo) yako

✔ Alama iwe ya kipekee na ya kiubunifu

✔ Isifanane na alama nyingine iliyosajiliwa katika daraja husika

✔ Isiwe kinyume na sheria au maadili

✔ Isionekane kama maelezo ya kawaida ya bidhaa/huduma

Tofauti kati ya Alama ya Biashara na Huduma​

  • Biashara: Bidhaa zinazoshikika (kama nguo, vitabu, mashine).
  • Huduma: Huduma zisizoshikika (kama usafiri, bima, kifedha).
Zote zimegawanywa kimataifa katika madaraja 45 (1–34 bidhaa, 35–45 huduma).

Muda wa mchakato wa usajili

Kwa kawaida, maombi yakikubaliwa, hutangazwa kwa siku 60 kwenye Jarida la Hataza. Endapo hakuna pingamizi, mwombaji hulipia ada na kupewa cheti. Kwa wastani, mchakato wote huchukua miezi 3 pekee!

Jinsi ya kupata Cheti cha Usajili​

Baada ya malipo kukamilika, cheti hupatikana kupitia mfumo wa ORS kwa akaunti yako binafsi.

Victoria Agency tutakusaidia:

  • Kuchagua jina sahihi la biashara au huduma yako
  • Kuandaa nyaraka zote zinazohitajika
  • Kukukabidhi cheti chako cha usajili wa logo bila usumbufu
Pigia simu au WhatsApp sasa: +255693880325 Usisubiri mpaka jina lako lipokonywe na wengine linda biashara yako leo! #TunasajiliKampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…