Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Tangu mwaka 2007 Dunia hutumia Jumamosi ya Mwisho ya Mwezi wa tatu kuadhimisha Saa ya Dunia. Siku hii ambayo kwa mwaka 2022 imeangukia Machi 26 huadhimishwa kwa kuzima ta zote za umeme kwa muda wa saa moja
Umoja wa Mataifa ‘UN’ umetangaza kushiriki maadhimisho haya na watazima taa katika majengo yao yaliyoko makao makuu New York Marekani kuonesha umuhimu wa asili katika mazingira.
Taa huzimwa kuanzia saa mbili na nusu usiku hadi saa tatu na nusu usiku