Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mkuu Analogia, kichwa habari ni saa lakini maelezo ni taa, binafsi sijaelewa bado, ni kusudio lako au kuna makosa kidogo ya kiufundi katika kuwasilisha madda.Tangu mwaka 2007 Dunia hutumia Jumamosi ya Mwisho ya Mwezi wa tatu kuadhimisha Saa ya Dunia. Siku hii ambayo kwa mwaka 2022 imeangukia Machi 26 huadhimishwa kwa kuzima ta azote za umeme kwa muda wa saa moja
Umoja wa Mataifa ‘UN’ umetangaza kushiriki maadhimisho haya na watazima taa katika majengo yao yaliyoko makao makuu New York Marekani kuonesha umuhimu wa asili katika mazingira.
Taa huzimwa kuanzia saa mbili na nusu usiku hadi saa tatu na nusu usiku
huadhimishwa kwa kuzima taa zote za umeme kwa muda wa saa mojaTaa ya Dunia au saa ya Dunia?
FegiHuku kwetu Kantaramba hata huo umeme haujafika tunazima nini sasa 🤔
Tanesco wanalijua hili? Wakijua tu watakata umeme usiku mzima wakisingizia saa ya duniaTangu mwaka 2007 Dunia hutumia Jumamosi ya Mwisho ya Mwezi wa tatu kuadhimisha Saa ya Dunia. Siku hii ambayo kwa mwaka 2022 imeangukia Machi 26 huadhimishwa kwa kuzima ta zote za umeme kwa muda wa saa moja
Umoja wa Mataifa ‘UN’ umetangaza kushiriki maadhimisho haya na watazima taa katika majengo yao yaliyoko makao makuu New York Marekani kuonesha umuhimu wa asili katika mazingira.
Taa huzimwa kuanzia saa mbili na nusu usiku hadi saa tatu na nusu usiku
😀😀😀😀😀Ushirikina ni sehemu ya maisha ya wazungu
Kwa kifupi mwaka mpya unapaswa kua around March 21, maana ndio kipind ambacho kila kitu kwenye nature huanza mzunguko mpya ukiangalia mimea march huwa inakua green yote kisha hupitia vipind vingine mpaka kukauka kabisa, lakini pia sayar huwa na mizunguko Kwa wale wanao fatilia masuala ya nyota na unajimu nyota ya kwanza ni punda ama Aries nayo huwa inatawala mwezi March kwaio march ndo mwanzo wa kila kitu katika ulimwengu huu hata new year ni marchTangu mwaka 2007 Dunia hutumia Jumamosi ya Mwisho ya Mwezi wa tatu kuadhimisha Saa ya Dunia. Siku hii ambayo kwa mwaka 2022 imeangukia Machi 26 huadhimishwa kwa kuzima ta zote za umeme kwa muda wa saa moja
Umoja wa Mataifa ‘UN’ umetangaza kushiriki maadhimisho haya na watazima taa katika majengo yao yaliyoko makao makuu New York Marekani kuonesha umuhimu wa asili katika mazingira.
Taa huzimwa kuanzia saa mbili na nusu usiku hadi saa tatu na nusu usiku
Naanza kuelewa kitukutoka kwako, naanza kuuhusanisha mada hii na mambo mengi"ATOMIC CLOCK"
Ntarudi baadae kuelezea
Wameshindwa kuiongoza dunia wanachoweza sasa hivi UN ni kuzima taa tuTangu mwaka 2007 Dunia hutumia Jumamosi ya Mwisho ya Mwezi wa tatu kuadhimisha Saa ya Dunia. Siku hii ambayo kwa mwaka 2022 imeangukia Machi 26 huadhimishwa kwa kuzima ta zote za umeme kwa muda wa saa moja