unajua ukikonda nyayo zinapasuka?

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,420
wana jf
nimefanya uchunguzi wangu binafsi na kugundua mtu akipungua uzito miguu inapasuka
hiyo imenitokea mimi mwenyewe baada kupingia uzito kwa haraka na nyayo zikaanza kupasuka
nilishangaa sana kwani haijawahi kunitokea,cha kushangaza mara baada ga ku gain uzito nyayo zilitakata zenyewe,kama una tatizo kama hilo jaribu kuangalia afya yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…