Unajua umuhimu wa mwanao kujua computer na lugha za kigeni mapema?

Joined
Jul 15, 2026
Posts
64
Reaction score
187
UNAJUA UMUHIMU WA MWANAO KUJUA COMPUTER NA LUGHA ZA KIGENI MAPEMA?

Dunia inabadilika kwa kasi. Leo, mtoto anayejua kutumia computer na kuwasiliana kwa lugha za kigeni anakuwa na fursa kubwa zaidi katika elimu, teknolojia na maisha ya baadaye.

Kupitia Elite Home Tuition, tunawasaidia watoto na wanafunzi kujifunza Computer Skills na lugha za kigeni kwa hatua rahisi na zinazoendana na kiwango chao cha uelewa.

Mwanao anaweza kuanza kutoka kwenye msingi kabisa na kujifunza hatua kwa hatua mpaka aweze kutumia computer kwa ufanisi na kujiamini katika kuwasiliana kwa lugha za kigeni.

Tunatoa huduma kwa wanafunzi wa Nursery, Primary, Secondary na Advanced Level.

Mfundishe mwanao ujuzi wa leo kwa ajili ya fursa za kesho.

ELITE HOME TUITION
Tunamjengea mwanao msingi wa elimu, teknolojia na lugha kwa ajili ya dunia ya sasa na ya baadaye.

Kwa usajili na maelezo zaidi:
0743567169
WhatsApp/Call
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…