Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
Teknolojia inakwenda Kasi sana hivi unajua unaweza chaji simu yako kwa kutumia Kadi 😂 !!! Najua una shangaa sana lakini ndo uwalisia.
Kuna kitu kinaitwa chaji Kadi (chargeCard) ni chaji inayobebeka kwenye walleti inayokupa uwezo wa kuchaji simu yako kwa urahisi imeunda ili kukupa uwezo wa kuchaji simu kwenye mazingira ambayo hakuna umeme.
Chaji hii muundo wake uko kama kadi za benki au Kadi za vingamuzi Feature zillizopo ndani yake 👇
⚙️ Imekuja na fast charging yenye betri la 2300mah/1.5A inakusaidia kuchaji simu yako kwa haraka.
⚙️ Imekuja ikiwa na bulit in kebo yenye lighting usb ya type C na micro USB kebo ambayo inakufanya uchaji simu bila kuwa na Kebo.
⚙️ Chaji hii anaweza tumia mtu yeyote mwenye kifaa chochote kama vile iphone, ipads, androids na vifaa vinginevyo.
Pia Kuna kifaa kinaitwa BATTARIX Power Card hii unaweza tumia miaka 8 kuchaji simu yako bila kuongeza chaji yoyote kwenye icho kifaa.
#smartcharge #chargecard #technology #technews #techupdates #chargetech #eastafrica #bongotech255 #fahamuzaidi