Unajua unaweza chaji simu kwa kutumia Kadi Yako !!!!

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240



Teknolojia inakwenda Kasi sana hivi unajua unaweza chaji simu yako kwa kutumia Kadi πŸ˜‚ !!! Najua una shangaa sana lakini ndo uwalisia.

Kuna kitu kinaitwa chaji Kadi (chargeCard) ni chaji inayobebeka kwenye walleti inayokupa uwezo wa kuchaji simu yako kwa urahisi imeunda ili kukupa uwezo wa kuchaji simu kwenye mazingira ambayo hakuna umeme.

Chaji hii muundo wake uko kama kadi za benki au Kadi za vingamuzi Feature zillizopo ndani yake πŸ‘‡

Your browser is not able to display this video.

βš™οΈ Imekuja na fast charging yenye betri la 2300mah/1.5A inakusaidia kuchaji simu yako kwa haraka.



βš™οΈ Imekuja ikiwa na bulit in kebo yenye lighting usb ya type C na micro USB kebo ambayo inakufanya uchaji simu bila kuwa na Kebo.

βš™οΈ Chaji hii anaweza tumia mtu yeyote mwenye kifaa chochote kama vile iphone, ipads, androids na vifaa vinginevyo.



Pia Kuna kifaa kinaitwa BATTARIX Power Card hii unaweza tumia miaka 8 kuchaji simu yako bila kuongeza chaji yoyote kwenye icho kifaa.

#smartcharge #chargecard #technology #technews #techupdates #chargetech #eastafrica #bongotech255 #fahamuzaidi
 
Inapatikana wapi!
Inapatikana wapi !?, Mbona maelezo yapo nusu nusu!?? Unakwama wapi!?.
 
Umekuja kuturingishia au? Au na wewe umeona kwenye fiction movies huko ukaja kuibwaga hapa? Kama sivyo sema inapatikana wapi? Ni bei gani? Namna hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…