GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Mbona huwataji waliotaka kumwua Sativa?Mama Abdul.
Muliro.
Abdul.
Mchengerwa.
Wanu.
Hapo nimetaja watu wa familia moja na askari mmoja
Maelezo zaidi kwa mnaomfahamu tafadhali.Wanu.
Hapo nimetaja watu wa familia moja
Igombe ni pa kwenda kuchuma, Marekani ndiyo pa kwenda kuspend!Kwani ni lazima waende marekani. Kuna maeneo mengi tu mazuri ya kwenda kuliko hata marekani na unaenda kuenjoy mfano igombe mwanza tanzania. Teh teh natania jamani
Wanu utakuwa umemwonea! Huyo dada hana shida, nafikiri!!!Mama Abdul.
Muliro.
Abdul.
Mchengerwa.
Wanu.
Hapo nimetaja watu wa familia moja na askari mmoja
Wewe seifu unazinguaKwani ni lazima waende marekani. Kuna maeneo mengi tu mazuri ya kwenda kuliko hata marekani na unaenda kuenjoy mfano igombe mwanza tanzania. Teh teh natania jamani
Bakuli watalitembezea wapi?Kwani ni lazima waende marekani. Kuna maeneo mengi tu mazuri ya kwenda kuliko hata marekani na unaenda kuenjoy mfano igombe mwanza tanzania. Teh teh natania jamani