Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Ni ngumu kutambua kwasababu njia iliyopo ambayo watu huitumia ni kwa kuangalia uchavu wa gari katika sehemu mbali mbali mfano kwenye steering wheel na pedal zote.
Ndiyo maana nimesema ni ngumu kutambua.Kama amebadilisha?
Hapa unafanyaje mkuu?Wengi huwa wanachezea odometer.
Ukitaka umbali halisi tumia diagnostic machine.
Wengi huwa wanachezea odometer.
Ukitaka umbali halisi tumia diagnostic machine.