Unajuaje kama msichana ana mtoto au ameshawahi kuwa na mtoto...

kalou

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2009
Posts
4,975
Reaction score
3,829
Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kuwa na uhusiano na binti mmoja,alikuwa na miaka 20,alikuwa mnene kidogo,..tatizo lilikuwa yaani kwa uzoefu wangu wa kipindi hicho na mpaka sasa siwezi kujua kwa uhakika kama yule msichana alikuwa na mtoto ama hakuwa naye,..wadau naomba mnipe uzoefu wenu kwenye hili especialy kama vigezo vyangu vya matiti na tumbo la huyo mwanamke vilifeli kabisa kunipa ukweli.
 
Jifunze kwanza kumtambua mwanamke anyekupenda na mwenye vigezo vya msingi kuwa mpenzi wako............Mengine utamuuliza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…