Unajuaje kuwa umetakata?

kethika

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
630
Reaction score
472
Najua wote huwa tunaoga labda mtu akiwa na shida maalum. Wengine wanaoga mara moja kwa wiki wengine mara moja kwa siku wengine mara mbili kwa siku nakadhalika.
Swali langu ni je unajuaje kama umetakata wakati unaoga? Ni baada ya maji kuisha? Muda kuisha ? Au inakuaje?
 
Mi hujua nimetakata baada ya kujisugua sehemu zote muhimu na nikatakata, haijalishi maji yameisha, yakiisha naongeza ilimradi nijitakatishe vyema ndio hapo nitasema nimetakata
 
Hili swali Ray waniache atakuwa ana jibu sahihi
 
ukionaa msg za different sex zinaingiaa kwa wing ujueeee tayariii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…