View attachment 3499752💡Je, unajua? Ukirekodi gharama zako zote kwenye Fuga App,inarahisisha kufuatilia faida na hasara zako kwa urahisi ukiwa popote pale kupitia simu yako📱kwa ajili Ufugaji Wako wa Kuku
Huna haja ya daftari tena Fuga inakusaidia kujua faida au hasara mapema zaidi ili uweze kuboresha ufugaji wako
Anza leo kutunza rekodi zako kwenye Fuga App usisubiri hadi mwisho wa msimu ndipo ujue kama umepata
Pakua Fuga App Leo Playstore
Fuga - Apps on Google Play