Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
INTRODUCTION:.
Kichwa cha habari cha husika .....
BODY:-
Heri ingekuwa taasisi ya kukusanya tu kama TRA.
Mida hii zile taasisi za kukusanya tu zinafikiria na kutunga activity za kumaliza bajeti tu, daah..!!
Ila kuna zile taasisi ambazo zinakusanya na kurudisha kwa wananchi, dah hela inaingia na kutoka, kasungura kadogoo ila walaji kibaooo..!!!
Dunia haina haki kabisaaaaa...!!!
SCENARIO
1. MUSE vifungu vimeisha vyoteee
2. Ukipiga WRONG CODING raia (CAG na INTERNAL AUDITOR) wanakushika shati..!!
3. MUSE inaelekea kufungwa (mwisho wa mwaka wa fedha)
Kwa kuzingatia point namba 3, Njaa inazidi kuongezeka na ku-prolong..!!!!
4. Mshahara wenyewe ni TGS ya kishambaa yenye makato ya HESLB na BANK LOAN.
Je unakabilina vipi na NJAA YA KAZINI KWAKO?
CONCLUSION
Tuendelee kutafuta hela, Hela hazitoshi kabisaaaa...
#YANGA BINGWA
#YNWA