unakamatwa thread

unakamatwa thread

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
unaiba mke wa mtu unaenda nae gest ya mbali kumbe kuna wanoko wanakuchora, mshamaliza kila kitu ile unatoka tu nje unakamatwa


unavuta sigara kituo cha polisi afu me nakuja najamba silence inatoka harufu ya bangi, polisi wanahisi unavuta bangi unakamatwa


unapost video za ngono instagram kumbe mriluka ukuta na ni kinyume cha sheria unakamatwa



unauza bidhaa fake tbs wakakuja kuhahikikisha wanagundua unawachezea akili wanaita polisi unakamatwa
 
BAADA YA KUTOA POST, UNAKAMATWA UNAWEKWA POST
 
Back
Top Bottom