Unakosa wateja kwenye biashara yako? No problem. Badili strategy utengeneze pesa 2020

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
767
Reaction score
1,657
Heri ya mwaka mpya 2020 JF massive!

Leo kama kawaida nipo hapa nikikupatia darasa muhimu kabisa kwanini Hustle zako (business) inakosa wateja wakati unafahamu kabisa product au service unayouza ni high quality. Pia nitakuonyesha solution ya hili tatizo [emoji817]

Leo nataka nikuonyeshe simple trick itakayobadilisha kabisa Business yako kama ukifuata vizuri.

Unajua kwenye business inabidi uwe smart sana kwa maana yakufahamu utaweza vipi KUJENGA INFUENCE kwa potential customers wako.

Bila hivi utahangaika sana kupata wateja.

You can trust me on this.

Nimesaidia small businesses nyingi tu kupata mbinu zaku-influence wateja wanaolenga kuwauzia bidhaa au service na wamefanikiwa kwahiyo ninafahamu namna yaku connect dots ili kweli biashara yako iongeze mauzo.

I’m speaking this form experience na si blah blah.

Nafamu wajasiriamali wengi wanatumia muda mwingi kuandaa product kwamaana ya packaging, jinsi atakavyosafirisha (kama ni physica product) bei watakayouza, logo na kadhalika. Lakini mwisho wa siku wakienda kuuza no one is interested to buy.

Entrepreneurs wengi wanaoanza wanashindwa kuona huu mtego na wakija kutambua hakuna wateja kama walivyodhani wengi wanaacha hizo business.

Leo nataka niokoe muda wako na pesa zako kwa kukusaidia jinsi utakavyoweza kupata wateja wa bidhaa yoyote unayouza.

Are you ready?

1 • Unahitaji kutengeneza “content” utakazo-share Online. Content zinazohusu bidhaa au service unazouza.

Yep.

Tena unatakiwa kufanya hivi in a consistent manner.

Hapa maana ya content kwamfano ni post kama hizi ninazo-share hapa JF au inaweza kuwa picha & maelezo instagram au Facebook. Lengo ni kuwafanya potential client wanifahamu lakini pia wafahamu kuhusu services ninazotoa.

Kipindi hiki cha teknolojia lazima utengeneze content kwaajili ya kusaidia potential customers kuelewa wewe ni nani na kwanini bidhaa unazouza ni muhimu wao kununua.

Ukifanya hivi unajenga Authority kila mara wanapo soma content unazo-share.

Unajua potential clients wakiwa wanaona Content zinazohusu product au service unazouza kila siku kila au kila wiki wataanza kuwa interested zaidi na bidhaa unazouza.

Watataka wafahamu zaidi. Na hapa ndiyo mwanzo wakuanza kuuza.

2 • Acha kuwa boring. Unahitaji kuwa on Fire [emoji91] online

Ngoja nikuambie kitu.

Kuna baadhi ya entrepreneur yaani wanavyoendesha Business zao nikama vile zimeshakufa tayari.

They are so fu**king boring.

Kuanzia mwonekano wa bidhaa zao, content wanazo-share yaani kila kitu kimepoa.

Unahitaji kuamka kama unaendesha Business katika namna hii.

Unahitaji kuwa aggressive.

Hii itakusaidia KUONEKANA.

Kwa mfano hapa JF kama unaweka content zako kwaajili ya Business yako inabidi ziwe Fire [emoji91]

Tofauti na hapo no one cares.

Watu wanapenda kununua kwa entrepreneur si tu wanaoelewa bidhaa au service wanazouza lakini pia walio on Fire. Wanaozungumza na kujieleza kwa kujiamini na wanafanya mambo kwa haraka na ukakika.

3 • Lipa expert atakayekusaidia kujenga strong presence online kama hutoweza mwenyewe.

Ndiyo.

Hii itakusaidia kuokoa muda na pesa.

Kwa mfano wewe huelewi lolote jinsi unavyoweza Kutengeneza content zitakazo influence wateja sasa hapa kwanini usirahisishe mambo? Unahitaji kusaidiwa kazi ifanyike kwa weledi. Kumbuka lengo ni kupata wateja si kuhangaika kila kitu unafanya mwenyewe tena bila ufanisi.

Learn to leverage other people’s time and skills.

Ukifanya hivi you will be able to scale your business in short time.

4 • Fanya biashara ile tu uliyo na Competitive Advantage.

Hapo na maanisha nini?

Namaanisha fanya biashara ile itakayokufanya uonekane wewe ndiyo mjuzi si umekuja tu kusindikiza wengine.

Kwa mfano hapa JF mimi nina competitive advantage kwenye mambo ya Online Business kwasababu tayari kwa kutumia content ambazo nimekuwa naweka hapa mara kwa mara na kwa kipindi kirefu tayari watu wanaweza kuona nipo serious na si kuja na post tatu halafu napotea.

Hii inakuwa rahisi kwangu kufanya Business na watu wanaohitaji kujenga presence Online ili waongeze sales.

Do I make sense?

I hope I do.

5 • Follow the money [emoji383]

Ngoja nikwambie kitu.

Wakati mwingine biashara yako si lazima iwe kama unavyoiendesha sasa hivi kipindi hiki unaanza.

Nikuambie tu ukianza business utagundua wateja wanataka kitu fulani cha tofauti sasa usipofuata wanachotaka wateja biashara yako itashindwa kukuwa.

Inabidi hapa mwanzo ufuate jinsi mteja anataka ahudumiwe na si idea yako jinsi unavyotaka umuhudumie.

Kumbuka kipindi chote hiki bado hujafahamu sana kama idea yako kweli inawateja.

Kuwa flexible mtu wangu.

Alright.

Ngoja niishie hapa.

Tukutane tena siku nyingine kwenye darasa amazing kama hili.

Cheers 🥂
 
Mi nimekuelewa, wanaoeka matangazo kule jukwaa la matangazo wangeusoma huu uzi maana mwingine anaeka picha na bei halafu ndio kamaliza.

Hilo kosa watu wengi wanafanya.

Ukitaka ufanikiwe kwenye business yoyote lazima ufahamu namna utakavyo influence potential customers wako.

Tofauti na hapo utapoteza pesa na muda wako.

Nafahamu there thousands small businesses zinashindwa kupata wateja kwasababu ya mambo ambayo kama wangepata muongozo wangekuwa mbali [emoji383]
 
Wewe una biashara gani ya mfano wa kuigwa?

1 • I’m super host AirBnB. I have 4 properties I’m hosting in Arusha.

2 • I’m running successful tour company in Arusha.

3 • Mimi ni Freelancer and I make decent side income. Pitia threads zangu nyingine.

4 • I’m running consulting practice. I make on average 700k a month. Only consulting business.

Nadhani nimekujibu.

Je, sasa utasema najisifia?
 
Unapenda kujitapa sana wakati unaganga njaa tu humu. Shida yako kuu ni kuja na tambo nyingi kumbe hakuna kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Successful tour company Arusha zinajulikana taja jina la hiyo kampuni. Yaani uwe na kampuni uwe una poteza muda kuja kupost tambo humu? Aisee wadanganye wajinga na pia acha tambo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Successful tour company Arusha zinajulikana taja jina la hiyo kampuni. Yaani uwe na kampuni uwe una poteza muda kuja kupost tambo humu? Aisee wadanganye wajinga na pia acha tambo

Sent using Jamii Forums mobile app

You are so stupid lil man.

Yaani ume-quote comment zangu zote nikajua kuna points za Business umeleta kumbe negativity.

Utapata shida sana kwangu.

Naona sasa hivi nimeshakua superstar wako kila thread yangu naona unakuja na negativity lakini lakuna anayejali.

So what now?
 
Naomba jina la Co. Yako ya Tours hapo Arusha,naweza nikakuunga mkono soon.
dodge
 
Taja jina la kampuni yako ya Tout make umesema ni inafanya vizuri sana Arusha.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tambo nyingi kumbe unatafuta watu wa kuwakamua humu. Eti nina kampun ya tour. Wadanganye wajinga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi mzuri sana!tunatakiwa kubadilika! Bigup bro!
Hyoo namba 2&3kwa watz wengi huenda tukashindwa!.maana wengi tuna roho za kwanini!...kuwa online/active muda wote nayo ni kazi sana!
 
Uzi mzuri sana!tunatakiwa kubadilika! Bigup bro!
Hyoo namba 2&3kwa watz wengi huenda tukashindwa!.maana wengi tuna roho za kwanini!...kuwa online/active muda wote nayo ni kazi sana!


Asante.

Kweli kabisa hapo kwenye roho ya kwanini. Hahaaa naona kuna jamaa alikuwepo kwenye ule uzi mwingine amerudi tena.

People are so negative [emoji107]

Lakini mimi sijali sana.

Nafanya kile kilicho SAHIHI tu basi.
 
Asante.

Kweli kabisa hapo kwenye roho ya kwanini. Hahaaa naona kuna jamaa alikuwepo kwenye ule uzi mwingine amerudi tena.

People are so negative [emoji107]

Lakini mimi sijali sana.

Nafanya kile kilicho SAHIHI tu basi.



Be positive!..hebu achana na hayo! Jitahid usijibu!...lol!hujui huu mwz huu wengi tuna stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…