GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
umefikiri nini mkuu kutushushia hii
Hahahaa........nakuona hapo bandarini unasubiri meli iliyobeba sera mbadala!Ongezea na johnthebaptist mzee wa kufukuzia michango na ubwabwa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Shuguli wapi leo ????Hahahaa........nakuona hapo bandarini unasubiri meli iliyobeba sera mbadala!
Hahahaa...... Kwenye mapokezi ya basi!
Huko hkuna ubwabwa....srryyyy utafeliHahahaa...... Kwenye mapokezi ya basi!
Hahahaa...... Tupo na akina Mnyika, Kubenea na Mdee hapa bandarini tunasubiri basi la Sera Mbadala!Huko hkuna ubwabwa....srryyyy utafeli
Na tabia yako ya kubeba ndizi mbivu na achali zitakudodea
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanatafuta kiki ili siku ya Chain yake ikimfikia azidi kuwa maarufu.
Sent using Jamii Forums mobile app