Unakufa. Challenge karibini

Unakufa. Challenge karibini

Unaamua kurudiana na xwako aliekuacha kwaakili zako ndogo anakuroga tena vizuri tu unajikuta huna akili unahonga Kila kitu mwisho unakufa
 
Unaamua kulike page ya Mange unalike ghafla unakuta suti nyeusi zimesimama nyuma unapotea unakufa
 
Watu ambao hawajapost memes za unakufa mnajifanya mature mnazeeka mnakufa
 
Ukila rushwa atalala Mbere na wewe mpaka Unakufa
 
Unafanya mazoezi ya kukimbia ili usipate kisukari au pressure itakayokupelekea kufa mapema lakini wakati unafanya mazoezi barabarani unagongwa na gari na KUFA.
 
Back
Top Bottom