"Unakufa" special thread

micky 00

Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
98
Reaction score
98
Unaikuta nyokaa pangoniii unaichezea inakung'ataa UNAKUFAA
 
Unakulaaa chips ..... Unakulaaa chips ..... Unamezaa stikiiii Unakulaaa chips ..... Unakulaaa chips ..... Unamezaa stikiiii UNAKUFA
 
Unapenda ngono bila kinga ukiukwaa unalia unapata stress mwisho UNAKUFA
 
Unapenda ngono bila kinga ukiukwaa unalia unapata stress mwisho UNAKUFA
 
Mpenzi wako anakuomba mwende club usiku.

We unatoroka kwenu mnaenda club na mpenzi wako mnafika huko unatokea ugomvi unapigwa chupa ya kichwa unakufa
 
Wamee kuzidishiaa chenjiii ... Unakimbiaaa unagongwa na gari unakufaa
 
Unakunywaa majiii yanakupariaa ... Unakufa
 
Una print T shirt za _BRING MO BACK_ then Mo anarudi mwenyewe. Unapatapa presha unakufa.
 
Unaombaa riftii unatakaa kupigaa na onniii ,,. ...... Mnapata ajari UNAKUFA
 
Unagoma kunywa pombe ..unaeenda kanisani ,ukiwa kwenye mapambio unaangukiwa na spika UNAKUFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…