Unakufa Thread

Unalala peke ako unaota unakimbizwa na Jini unastuka unajigonga kwenye kitanda Unakufa
 
Umepewa nafasi na lubuva umeshindwa kuifanya vizuri kusikia kina joka la mdimu wanaitaka unapata pressure UNAKUFA.
 
Unaishi kwa wema ..team wema wanakuambia uhame kwa boss wao ..unapata mshtuko unakufa
 
Umepata taarifa Mange Kimambi kakupost na unajua machafu yako na maneno yake unapata shock Unakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…