Unakumbuka enzi hizi!

Unakumbuka enzi hizi!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Nimekaa nikakumbuka enzi nilizopitia ujanani!!Nakumbuka shati langu la AZARRO,MARADONA,Na Shati langu la Ndege!!Na Jeans yangu ya Michael Jackson na Saa yangu ya Morrtima!!Nikakumbuka viatu vyangu Pett na Bora Ngazi 3!!
 
MI NAKUMBUKA ENZI HIZO UNACREATE HUU UZI NILIKUWA FORM 1
 
Nimekaa nikakumbuka enzi nilizopitia ujanani!!Nakumbuka shati langu la AZARRO,MARADONA,Na Shati langu la Ndege!!Na Jeans yangu ya Michael Jackson na Saa yangu ya Morrtima!!Nikakumbuka viatu vyangu Pett na Bora Ngazi 3!!
Nikikumbuka chupi za VIP na raba za DH...

Acha kabisa
 
Dah mkuu umenikumbusha mbali sanaaa
 
Back
Top Bottom