Unakumbuka hii... LA MUJER DE MI VIDA

Unakumbuka hii... LA MUJER DE MI VIDA

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2008
Posts
281
Reaction score
66
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=mHb28nuqjFk"]http://www.youtube.com/watch?v=mHb28nuqjFk[/ame]
 
HV UNAJUA NDUGU kwamba tunalipia internet cafe kwa mapenzi na JF tu?
 
ASANTE SANA MDAU PIA HII YA ALL ABOUT CAMILA (TODO SOBRE CAMILA
WIMBO WA MWANAMZIKI AITWAYE CHAYANNE UITWAO "KAMA UKIENDA ' "Y Tu Te Vas" ILIKUWA BURUDANI SANA
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=PlktMRV2zgk[/ame]
 
Ana maanisha muda kwenye Internet cafe unakwenda akizicheki haya mimuvi za La Mujer de mi Vida bila kuchungulia misufuria lukuki za JF!

Hii si inajieleza hata katika heading mazee na ipo kwenye jukwaa la burudani, alitarajia kukuta nini humu..!!!???
 
Back
Top Bottom