lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Wanafunzi wengi au watoto walikua wakiwabatiza walimu au lecturer wao majina ya bandia, lakini majina mengi yalitokana na mazoea ya hao walimu kupenda kutumia neno fulani kila mara kitu au tabia
Hatimae hatimae ilipelekea wanafunzi wakalitumia neno hilo kama jina, hii imeenda hadi kwa wazazi, ndugu na jamaa.
Mwalimu wangu wa shule ya msingi tulikua tukimwita "hamna chitu" alipenda kutumia neno hilo akiku discqualify, akimaanisha hamna kitu, hakua ana jua lafudhi nzuri ya kiswahili
Chuo kulikua kuna mwalimu tulimbatiza jina la dheraa, alipenda sana kutumia nenno hili akimaanisha there are,
Mnakumbuka mliwabatiza walimu majina gani tujikumbushe?