Unakumbuka jina lake?Jamaa alitufanya wengine tuwe tunajifunika shuka mpaka kwenye unywele wa kichwa wa mwisho kuogopa wenda anakuja ndani🤣

Unakumbuka jina lake?Jamaa alitufanya wengine tuwe tunajifunika shuka mpaka kwenye unywele wa kichwa wa mwisho kuogopa wenda anakuja ndani🤣

Eminem jr

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2018
Posts
2,003
Reaction score
4,584
pindi hicho mabanda ya video yaani ukimaliza kuitazama halafu nyumbani kuwe na umbali kidogo..hata ukikutana na Paka unaisalimia.
 

Attachments

  • 59039573_1554057858065059_4210176360880013312_n.jpg
    59039573_1554057858065059_4210176360880013312_n.jpg
    9.8 KB · Views: 29
Ahahahahaha me nilikua nikilisikia hilo tangazo siingii ndani mpaka liishike nsyuka asee ndio jina lake
 
Duuu, watu kumbe ni wa juzi tu, yaani nsyuka inatoka mi ndio nawatishia watoto kumbe watoto wenyewe ndio nyie, enzi zangu nilikuwa naogopa Dracula na wimbo wa Michael Jackson thriller
humu kumbe kuna watoto aisee
 
mlikua mnaogopa isyukaaa dah watoto wa kipindi cha saradini na jul tax nyie
 
Back
Top Bottom