humu kumbe kuna watoto aiseeDuuu, watu kumbe ni wa juzi tu, yaani nsyuka inatoka mi ndio nawatishia watoto kumbe watoto wenyewe ndio nyie, enzi zangu nilikuwa naogopa Dracula na wimbo wa Michael Jackson thriller
Nsyuuka na Shumileta aiseee zilikuwa zinatishaKuna Nsyuka,Shumileta,Kibuyu,Chite ukae,Uwanja wa dhambi na Bwawa la Mtela aisee very horror movies enzi izo.
Kwani JF ni ya wazee peke yao mkuumlikua mnaogopa isyukaaa dah watoto wa kipindi cha saradini na jul tax nyie