Unakumbuka kikosi hiki cha Yanga cha Mwaka 2009? Taja Wachezaji unaowafahamu hapa

Ungetuwekea kabisa na ule wimbo wa "Tumetoka mbali" wa Misso Missondo manake sio kwa hiyo misulupwete!
 
Chuji, Nsajigwa, Ngasa, Nurdin Bakari, Bonny( R.I.P), Canavaro nk
 
Wale wakongwe katika mchezo wa soka la Bongo, tukumbushane majina ya wachezaji waliopo katika kikosi hiki cha Yanga.

Picha nimeitoa Mtandaoni tu sio yangu.
Boniface Ambani Obren Circovic Nadir haroub Ben Mwalala Athuman Iddy Mrisho ngasa Ally shamte Godfrey Bonny Marehemu sasa hivi Shedracy Nsajigwa Nurdin Bakari nimemsahau mmoja tu
 
Wale wakongwe katika mchezo wa soka la Bongo, tukumbushane majina ya wachezaji waliopo katika kikosi hiki cha Yanga.

Picha nimeitoa Mtandaoni tu sio yangu.
Hii mechi ilikua agaist Simba, Yanga alishinda bao moja alifunga Ben Mwalala kipindi cha kwanza, ilikua ni mwaka 2008, mechi ya kwanza kati ya simba ya Yanga kuchezwa taifa nakumbuka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…