Omuzirambogo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 685
- 751
HatariKama ungepewa nafasi, ungetamani kitabu gani kichapishwe upya? Mimi nakumbuka vifuatavyo’
- MIKATO MAKABURINI
- ALFU LELA ULELA
- WARIDI
- KISIWA CHENE HAZINA
suala sio wachangiaji bali usahihi wamajibuSidhani kama utapata wachangiaji wengi. Si unaona thread nyingi sasa ni za kuulizia CODE ZA TCU!!!!
Umenikumbusha mbali mkuu! hata Julius Ceaser nacho kilikuwa kizuri ila kwa wakati ule sikukielewa harakaVitabu vya Elvis Musibu ambavyo star alikuwa Willy Gamba.
Ila vichapishwe kwa lugha ya kiingereza.
Sasa mkuu Omuzirambogo, sijui kama umenielewa. wewe umeongelea vitabu ambavyo mwanajf atakuwa amevisoma miaka 20 iliyopita!suala sio wachangiaji bali usahihi wamajibu