Unakumbuka nini hapa?

MIGOGORO YA SOKA TANZANIA

1. Viongozi wa Klabu ya Simba wakitokea kwenye mkutano wa upatanishi Dodoma?

2. Kamati ya kuchunguza rushwa 'FWATI' iliyopelekea Rage kuwekwa Lupango?

3. Jenerali akiwa mwenyekiti wa BMT kisha wakasema eti siyo Mtanzania?
 
Nadhani mojawapo ni ajali iliyopelekea kufanyika uchaguzi mdogo wa Tarime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…