Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari!
Wengine wanaendelea kusema dunia simama washuke ila sisi acha tujaribu kukumbuka hapo awali ilikuwaje.
Na imani kuna wengi watakumbuka matukio mengi kwa kipindi kile suruali ilikuwa ni jambo la ajabu kwa mwanamke kuvaa na kutembea mtaani.
Watoto wa sasa wanazaliwa na kukuta vazi la suruali kwa mwanamke ni vazi la kawaida na lisilo shangaza.
Turudi nyuma kwenye mitaa yetu kipindi hicho kwa mtoto wa kike kuvaa suruali ilikuwa ni sawa kabisa na kutokuvaa chochote (utupu).
Na kwa wakati ule ilionekana kabisa mvaa suruali yeyote yule wa jinsia ya kike ni malaya/ asiye na maadili.
Karibuni tujikumbushe kwa wakati ule mwanamke kuvaa suruali ilikuwaje?
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu