Unakumbuka nini kuhusu CHADEMA katika hii miaka 30 tangu iasisiwe? Sitasahau nyomi la Lowassa pale Jangwani 2015

Unakumbuka nini kuhusu CHADEMA katika hii miaka 30 tangu iasisiwe? Sitasahau nyomi la Lowassa pale Jangwani 2015

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katika umri wake wa miaka 30 Chadema imefanya mengi ya kulisaidia taifa lakini pia imekuwa kikwazo kwa baadhi ya mambo ya kimaendeleo nyakati zingine.

Je, unaipongeza Chadema kwa lipi?

Je, ungependa chama hiki kikuu cha upinzani kijirekebishe katika maeneo gani?

Je, unafikiri Chadema ni chama tawala mbadala baada ya CCM kufikia maturity stage sasa?

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
 
SAVE_20220124_084909.jpg
 
Chama pekee kinacho ogopwa na CCM
 
CDM chama bora cha siasa cha muda wote Tanzania, chama pekee hakijawahi nunulika na maccm, CDM ni chaguo la MUNGU.
 
Chama cha kwanza katika historia ya nchi hii kutumia chopa kwenye kampeni!

Mgombea akiwa ni huo mnaemwita gaidi sasa hivi!!

Duuh!! Ila jamaa mnamwogopa sana!!
 
Chama cha kwanza katika historia ya nchi hii kutumia chopa kwenye kampeni!

Mgombea akiwa ni huo mnaemwita gaidi sasa hivi!!

Duuh!! Ila jamaa mnamwogopa sana!!
Freeman Mbowe ni chaguo la vijana

CCM ni chaguo la akina mama!
 
Sitasahau kuna ndugu mmoja wa kijani alipigishwa hadi magoti pomoja na wasanii wote kumpa sapoti, wakati aliempigisha magoti anatembea na flash yenye nyimbo moja tu.[emoji849][emoji849][emoji849]
Weee jamaaa una dharau sana
 
Back
Top Bottom