johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Me sintasahau Mbowe kubambikizwa kesi ya ugaidi na CCM kisa kudai katiba mpyaKatika umri wake wa miaka 30 Chadema imefanya mengi ya kulisaidia taifa lakini pia imekuwa kikwazo kwa baadhi ya mambo ya kimaendeleo nyakati zingine...
Chama pekee kinacho ogopwa na CCMKatika umri wake wa miaka 30 Chadema imefanya mengi ya kulisaidia taifa lakini pia imekuwa kikwazo kwa baadhi ya mambo ya kimaendeleo nyakati zingine.
Je, unaipongeza Chadema kwa lipi?
Je, ungependa chama hiki kikuu cha upinzani kijirekebishe katika maeneo gani?
Je, unafikiri Chadema ni chama tawala mbadala baada ya CCM kufikia maturity stage sasa?
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Kwahiyo unakumbuka vikwazo!Chadema imekuwa kikwazo kwenye mambo yepi?
Akina Halima Mdee na wenzake wako wapi?CDM chama bora cha siasa cha muda wote Tanzania, chama pekee hakijawahi nunulika na maccm, CDM ni chaguo la MUNGU.
Freeman Mbowe ni chaguo la vijanaChama cha kwanza katika historia ya nchi hii kutumia chopa kwenye kampeni!
Mgombea akiwa ni huo mnaemwita gaidi sasa hivi!!
Duuh!! Ila jamaa mnamwogopa sana!!
CCM ni maprofesa wa siasa za uchaguzi. Kuna kura za wahdzabe huwa chama kinajizolea bure kabisa. Matokeo ya uchaguzi yakitoka huwa ni kilio kwa CHADEMAFreeman Mbowe ni chaguo la vijana
CCM ni chaguo la akina mama!
Acha kuchanganya CDM kama taasisi na wanachama.Akina Halima Mdee na wenzake wako wapi?
Kumbe!Acha kuchanganya CDM kama taasisi na wanachama.
Weee jamaaa una dharau sanaSitasahau kuna ndugu mmoja wa kijani alipigishwa hadi magoti pomoja na wasanii wote kumpa sapoti, wakati aliempigisha magoti anatembea na flash yenye nyimbo moja tu.[emoji849][emoji849][emoji849]