Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

Janjawidi

Senior Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
133
Reaction score
33
1627194889000.png

Kwa kweli mimi binafsi hiyo siku sikumbuki chochote ila najua hiyo siku ilikuwepo.

Demu wangu wa kwanza simkumbuki ila nakumbuka zamaaaniii enzi za utoto za kucheza baba na mama.

Mvua hizi ndo zinafanya watu tuwaze mengi...tukumbukie hapo unakumbuka nini wewe?
 
Back
Top Bottom