Mi nashukuru Mara ya kwanza kujiunga fb nilipata rafik ambaye wakat nampata nilikuwa nikiishi Dar mazingira ya ajabu sana mpaka maisha yangu yalikuwa ya shida sana. Bas huyo jamaa ang alikuwa ni mtu wa Mwanza akapanga cku tuonane ikawa kama bahat mbaya kaz niliyokuwa nafanya nikaachishwa bila sababu za msingi nililia sana kwa kuwa ckuwa na nguzo nyingine ya kuegemea. Bas jamaa akaniambia ucjal nakuja Dar aliniambia nakuja na ndege hapo Dar cjui ilikuwa ushamba au nin kwanza ckuamin. Jamaa nikaenda kumpokea alikuja na ndege ya Air Tanzania tukaenda kwangu alisikitika sana kunikuta nalala chin. Kuanzia hapo aliyabadilisha sana maisha yangu. Naishukuru Facebook.