Unakumbuka tukio gani ndani ya kitabu cha Ngoswe?

Dah Umenikumbusha Mbali Sana Hiki Kitabu Na Me Sehem Nnayoikumbuka Ni Pale Makalatas Ya Sensa Yanapgwa Moto Mwisho Ngoswe Anatetewa Na Baba Ake Mazoea. [HASHTAG]#takadini[/HASHTAG] , [HASHTAG]#watoto[/HASHTAG] Wa Mama Mtilie Nk
 
Miaka 19 nipo nje ya darasa hayo nitayakumbuka wapi aisee!
 
Nakumbuka jinsi Ngoswe anavyoingia kijijini anavyopokelewa na kuanza kufahamiana na wenyeji wake.

Nakumbuka Ngoswe anaanza kufanya kazi iliyompeleka kijijini na tunaanza kuoneshwa changamoto anazokumbana nazo.

Nakumbuka mwendelezo wa matukio ya mwanzo hapa visa vinazidi kukua, kish Ngoswe anakumbana na changamoto nyingi zaidi katika kazi yake. Na hapa anazidi kuanguka kwani anajiingiza katika mapenzi na msichana Mazoea, anaendekeza ulevi na kuharibu kazi kabisa.
 
Mwanaume wa dar (ngoswe) aliponzwa na papuchi
Ngoswe kijana wa kiume umri kati yamiaka 20-25. Ngoswe alikua ameelimika na amestaarabika, ndipo Ngoswe anatumwa na serikali kufanya sensa kijijini na bahati mbaya Ngoswe najihusisha na mapenzi na msichana Mazoea.
Ngoswe ni kijana mlevi, asie na umakini katika kazi hadi aliharibu kazi ya serikali na hafai kuigwa na jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…