Unakumbuka VITUKO/VISA vya Mapacha Mtaani kwako? Nimekumbuka hiki, nikacheka sana

Shift

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
1,087
Reaction score
2,195
Kamwene,
Leo nimekumbuka tu mtaani kwetu pale Mtaa wa Ramadhani - Njombe kulikua na Identical twins wa kiume, miaka ile tunacheza pamoja wala hakukua na mambo ya TV, basi ile balehe balehe ile nakumbuka kuna binti mmoja alijichanganya kwa hawa jamaa, unaambiwa kulwa alimkula kisha akatoka, akampa doto shati lake akavaa akaingia akaenda kuendeleza tena mchezo.

Binti kabla hajakaa vizuri jamaa anakula mzigo tayari ila kuna viashiria vingi kuwa anayemkula sio yule ila hana uhakika. Wale washikaji walikua na vituko sana sana.

Unakumbuka kisa gani ulichowahi kukutana nacho cha hawa jamaa?? tupe uzoefu wako hapa.
 
Mapacha tumefanya nn aseeh, tupumzisheni,

Mapacha hatuna makuu wazee
 
Hiyo kawaida ya sisi pacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…