Unakumbuka...??

Unakumbuka...??

Ibrahimeliza

Member
Joined
Nov 25, 2020
Posts
37
Reaction score
26
Hivi unakumbuka ulivyokuwa mdogo ndoto yako ilikuwa ipi....?? Kumbuka ulivyokuwa mdogo ulikuwa unamwambia mama au baba nikiwa mkubwa nataka kuwa DR au Mwanajeshi au Mwanasiasa au Mwandishi wa habari, hivi unakumbuka....?? Tena unamwambia mama kwanini unataka kuwa polisi au Mwanasiasa, vizuri, kama ushakumbuka vipi ushatimiza ndoto yako .....?? Au umeghairi...?? Au mazingira yamebadilisha ndoto yako...?? Au matokeo ya shule yamekufanya husiishi ndoto yako...?? Au ulikuwa utoto tu...??
 
Back
Top Bottom