Unakuta Binti Mzuri, ana Shape unasema Mke Huyu. Kumbe nyuma ameweka kitunguu!

Maji masafi kwako ni yapi?
Kilimanjaro mkuu,sasa akiosha na Yale ya kutawadhia chooni tena na kopo linalotumika na kila mtu,ukipiga deki si utachomoka na typhoid.
So wote tunaishi nyumba za kidhungu wwngine tuko uswazi mkuu.
 
Maji masafi kwako ni yapi?
Kilimanjaro mkuu,sasa akiosha na Yale ya kutawadhia chooni tena na kopo linalotumika na kila mtu,ukipiga deki si utachomoka na typhoid.
So wote tunaishi nyumba za kidhungu wwngine tuko uswazi mkuu.
 
Hahahaha, nimecheka mbaya sana asubuhi hii. Uzi wa kwanza kusoma na vituko mwanzo mwisho!
 
Tatizo wa Afrika ni unafiki. Mwafrika huikuza dhambi moja huku nyingine ikimla
yeye. Ile ambayo hatendi yeye ndio dhambi
Mtu anaingia nyumba ya ibada tena sometimes hupewa na uongozi lakini ni mchawi.
mtu ni mwongo na mpenda sifa lakini utamsikia anasema dunia imekwisha eti kisa kapita shoga mbele yao.
Mtu ni fisadi na mwizi lakini ndio kwanza hupewa Mike kuhubiri kanisani , na akishika Mike mahubiri yote ni kuwasema waumini wawe watakatifu ili wainuliwe na Mungu huku yeye hajainuliwa na Mungu bali ni jizi na fisadi.
Mtu sio mwizi lakini ana waganga wa kienyeji(wachawi) 3 kwaajili ya biashara yake au kazi yake.
Mtu dukani ameandika Mashallah au Yehova Yire lakini ana hirizi kiunoni ya kuvutia wateja.
Kuna duka huku Temeke la vifaa vya pikipiki, ukifika muda wote ni nyimbo za Injili tu lakini jamaa kaweka jini la kuvutia wateja.
Ni heri kukaa kimya
 
Hilo jini umelionea wapi? Hizo hirizi kiunoni umezionea wapi? Huu sasa ndo unafiki. Unaponda mtu pasipo uthibitisho. Wewe unasema ni heri kukaa kimya ila hukukaa kimya umeandika na kuhukumu. Kwa nini usingekaa kimya?umesimama na kuandika tena ukihukumu hao wengine bila uthibitisho? Hilo jini analofuga wewe uliliona wapi? Tuanzie hapo. Ili tukushike uongo.
 
Kwani si anaishi katika jamii ambayo hakuna siri. Kaweka jini dukani kwake alilolinunua Korogwe. Na nyimbo za Injili mwanzo mwisho.
 
Inasikitisha jamani, dunia imeisha kwakweli huku nje hakufai, wanasema hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
SubhanAllah , tunahitaji rehema za Mungu kwa kweli,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…