Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Unawapangia watu matumizi ya simu zao?Ni habari za ujinga ujinga tu.
Habari za nani anatoka na nani?
Nani kalala na nani?
Sijui tunatengeneza taifa la namna gani huko mbeleni.
Acha mwarabu achukue nchi aisee.
Unamkuta hadi babu yake adriz anatumia hizi emoji akitext 👌🏿🖕🏿🤜🏿💪🏿🤟🏿Ni habari za ujinga ujinga tu.
Habari za nani anatoka na nani?
Nani kalala na nani?
Sijui tunatengeneza taifa la namna gani huko mbeleni.
Acha mwarabu achukue nchi aisee.
Taifa limeharibika, lina watu wanapenda umbea kuliko kujifunza, lawama zote ziende kwa CCM kwa kuharibu misingi na maadili ya taifa letuNi habari za ujinga ujinga tu.
Habari za nani anatoka na nani?
Nani kalala na nani?
Sijui tunatengeneza taifa la namna gani huko mbeleni.
Acha mwarabu achukue nchi aisee.
Ukikekengeuka hata kama unamiliki kila kitu, utaonywa tu. Ni kweli simu na bando ni vyake ila in the end tunatengeneza taifa bovu. Hadi leo tunapewa misaada kwa vile tumeamua kuwekeza kwenye ujinga.KEYWORD: Simu yake.
Ikiwa anasoma kwenye simu yake, kwa bundle lake, muda wake. Tatizo liko wapi??
Br. Unataka sisi mapaparazi tukale wapi ? Waache wapite pite kwenye page zetu na sisi tupate mkate wetu wa kila siku.Ni habari za ujinga ujinga tu.
Habari za nani anatoka na nani?
Nani kalala na nani?
Sijui tunatengeneza taifa la namna gani huko mbeleni.
Acha mwarabu achukue nchi aisee.
Ndo Dunia ya Sasa mkuu!Ni habari za ujinga ujinga tu.
Habari za nani anatoka na nani?
Nani kalala na nani?
Sijui tunatengeneza taifa la namna gani huko mbeleni.
Acha mwarabu achukue nchi aisee.
[emoji38][emoji38][emoji38]Br. Unataka sisi mapaparazi tukale wapi ? Waache wapite pite kwenye page zetu na sisi tupate mkate wetu wa kila siku.
😂😂😂bora ukose kulaBora nikose kula, ila sio umbea na udakuu.
Ufukunyuku nimezaliwa nao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haswaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora ukose kula