Unakuta mtu anaeleza changamoto za ndoa yake kwa vitoto vya 2000 counter

Dr hyperkid

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2019
Posts
12,679
Reaction score
25,646
unakuta mtu anaeleza changamoto za ndoa yake kwa vitoto vya 2000 counter,huyo bar med atakusaidia nini zaidi kujizalilisha..wengine wakunywa pombe kali hawajala matokeo yake wanajisaidia haja kubwa mitaani mambo ya hovyo kabisa.

kesho tena linaingizana likiwa timamu watu wanalisanifu tuh. huu mkesha wa mwaka mpya msishangae mkikutana na vinyesi mitaani ni hawa walevi wasisingizie vichaa
 
unalia nini dogo kunywa soda na juice ufurahi.

pombe tuachie wanaume wenye pesa na masculinity
kama wewe ni mlevi rahi yangu mkaze na sphincter muscles kuepusha hii kadhia kwa jamii
 
Embu fata mambo yako wew mnywa juisi maana ina onaonekana unapenda kufata mambo ya wanaume.
 
unakuta mtu anaeleza changamoto za ndoa yake kwa vitoto vya 2000 counter,huyo bar med atakusaidia nini zaidi kujizalilisha..wengine wakunywa pombe kali hawajala matokeo yake wanajisaidia haja kubwa mitaani mambo ya hovyo kabia.

kesho tena linaingizana likiwa timamu watu wanalisanifu tuh. huu mkesha wa mwaka mpya msishangae mkikutana na vinyesi mitaani ni hawa walevi wasisingizie vichaa
Wewe wa ajabu sana. Badala ya kumshauri mumeo unamtolea maelezo humu. Wote na mlev wako mko sawa
 
Hii ng"ombe haijuwi kuwa walevi wanaingiza pato kubwa sana nchi hii
 
unakuta mtu anaeleza changamoto za ndoa yake kwa vitoto vya 2000 counter,huyo bar med atakusaidia nini zaidi kujizalilisha..wengine wakunywa pombe kali hawajala matokeo yake wanajisaidia haja kubwa mitaani mambo ya hovyo kabisa.

kesho tena linaingizana likiwa timamu watu wanalisanifu tuh. huu mkesha wa mwaka mpya msishangae mkikutana na vinyesi mitaani ni hawa walevi wasisingizie vichaa
unapita mtaani unaona kimba kubwa unajiuliza nani kanya katika mazingira haya? Kumbe ni walevi hawa
 
alafu jamaa ni wabishi mbaya

ukimuliza kulikoni mbona jana ulikua unajisaidia kwenye kuta za nyumba za watu haa sio mimi hadi unamwonyesha video za camera ndio utasikia mkuu ni pombe
 
  • Thanks
Reactions: apk
Back
Top Bottom