Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Sentunalia nini dogo kunywa soda na juice ufurahi.
pombe tuachie wanaume wenye pesa na masculinity
kama wewe ni mlevi rahi yangu mkaze na sphincter muscles kuepusha hii kadhia kwa jamiiunalia nini dogo kunywa soda na juice ufurahi.
pombe tuachie wanaume wenye pesa na masculinity
pateni mlo kabla ya kubugia pombe kali matokeo mnayoleta ni ya hovyoEmbu fata mambo yako wew mnywa juisi maana ina onaonekana unapenda kufata mambo ya wanaume.
nikulize wewe bibieWe ni me au ke?
Wewe wa ajabu sana. Badala ya kumshauri mumeo unamtolea maelezo humu. Wote na mlev wako mko sawaunakuta mtu anaeleza changamoto za ndoa yake kwa vitoto vya 2000 counter,huyo bar med atakusaidia nini zaidi kujizalilisha..wengine wakunywa pombe kali hawajala matokeo yake wanajisaidia haja kubwa mitaani mambo ya hovyo kabia.
kesho tena linaingizana likiwa timamu watu wanalisanifu tuh. huu mkesha wa mwaka mpya msishangae mkikutana na vinyesi mitaani ni hawa walevi wasisingizie vichaa
Sawa mke wangunikulize wewe bibie
wewe ni mlevi..mama EdinaWewe wa ajabu sana. Badala ya kumshauri mumeo unamtolea maelezo humu. Wote na mlev wako mko sawa
πππhuu mkesha wa mwaka mpya msishangae mkikutana na vinyesi mitaani ni hawa walevi wasisingizie vichaa
unapita mtaani unaona kimba kubwa unajiuliza nani kanya katika mazingira haya? Kumbe ni walevi hawaunakuta mtu anaeleza changamoto za ndoa yake kwa vitoto vya 2000 counter,huyo bar med atakusaidia nini zaidi kujizalilisha..wengine wakunywa pombe kali hawajala matokeo yake wanajisaidia haja kubwa mitaani mambo ya hovyo kabisa.
kesho tena linaingizana likiwa timamu watu wanalisanifu tuh. huu mkesha wa mwaka mpya msishangae mkikutana na vinyesi mitaani ni hawa walevi wasisingizie vichaa
alafu jamaa ni wabishi mbayaunapita mtaani unaona kimba kubwa unajiuliza nani kanya katika mazingira haya? Kumbe ni walevi hawa