Unakuta Mwanaume Single Father anawananga Single Mother

themagnificient

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
1,033
Reaction score
3,720
Hakuna tofauti kati ya Single Mother na Single father, Ukiona mwanaume na mwanamke wameachana tayari wakiwa wameshazaa kama mwanaume unaogopa huyo mwanamke ambae ni Single Mother basi na wanawake pia mnapaswa kuogopa sana Mwanaume ambae tayari kashazaa na mtu na anataka kukuowa hao wote ni majanga na wazazi hawaachanagi

Ukiona Wazazi wamechana basi msikimbilie kumlaumu mwanamke kuwa ndio ana matatizo wapo wanaume pia ni washenzi balaa,wakishazalisha tu wanakimbia majukum chap alafu huyo huyo mwanaume anakuja hapa jamvini anasema ogopa single mother wakati yeye mwenyewe ana mtoto na kakimbia majukum

Mwanaume anaepaswa kuwapinga Single mother ni yule tu ambae hana historia ya kuzalisha mtoto wa mtu huko nnje, ila kama ushazaa na mtu na umeshamkimbia wewe ni Single Father tu yani chupa na mfuniko
 
Nachoeleza mm ukizalisha nnje na ww single father wote washenzi tu
Hakika mkuu. Hili swala tukilichekea chekea kuna vi mru vinajifanya vidume vinatia vinakolea vinasepa, binti anabaki kuhangaika kutafuta aolewe na nan
 
Nachoeleza mm ukizalisha nnje na ww single father wote washenzi tu
Hakika mkuu. Hili swala tukilichekea chekea kuna vi mru vinajifanya vidume vinatia vinakolea vinasepa, binti anabaki kuhangaika kutafu
Single mama na singke father wake woote washenzi tu, hovyo hovyo tu.
 
Hii formula haiapply huku
a=b=c

Pambana na hali yako
 
maandiko yanasema Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.Ova
 
Ukitaka kujuwa magumu wanayopitia single mothers subiri kipindi cha siku kuu xmas au January kipindi cha kufunguwa shule..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…