Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Sasa ukiaga kuwa unakwenda mahali x na kumbe unaenda mahali y bado utakuwa umetimiza wajibu?
kuaga kunaonyesha caring basi ka hataenda ambako kasema sio mbaaya mradi tu kaagaSasa ukiaga kuwa unakwenda mahali x na kumbe unaenda mahali y bado utakuwa umetimiza wajibu?
PAMOJA N MASWALI HAYA KUUDHI......kwa upande mwingine hebu jiulize utajiskiaje pale ambapo mwenzio hakuulizi kitu.Unenda huulizwi.......unarudi huulizwi............ siku nenda rudi...utajisikiaje?