mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Nitafte Hela ziwe shilingi ngapi mzee ili nikwepe, sababu iwe hotelini wapi menu zinaishia humoTafuta hela mpaka utakuwa unavihamu hivyo vyakula!
Hiyo sio hotel ni mgahawa!Nitafte Hela ziwe shilingi ngapi mzee ili nikwepe, sababu iwe hotelini wapi menu zinaishia humo
Sawa, kwako hotel ni five star hotel tu eeHiyo sio hotel ni mgahawa!
Waafrika tuna uhaba wa Milo. Tunakula ili tuishi, hatuli kufurahia uumbaji wa Mungu.Nimejikuta hivi vyakula ni sehemu ya mlo wangu karibu Kila siku, ukiwa nyumbani utakuta pamepikwa , uingie mtaani hadithi ni Ile Ile, nimevichoka ila sasa sielewei najinasuaje , vyakula hivi ni 1. Wali 2. Ugali 3. Chips 4. Chapati 5. Ndizi na mboga hizi 1. Nyama 2. Samaki( samaki na dagaa) 3. Maharage 4. Mboga a majani marufu kama Chinese, vip unatoboaje na unavikwepaje, je unaweza toboa wiki usikutane na hiyo menu hapo juu,
SawaUnachemsha, sukari kila mtu anaweka size yake ikiwa mezani
Kwa kibongo Hotelini hamna kupangiwa eti wali lazima upewe na nyama maharage na spinach huo ni mgahawa mkuuSawa, kwako hotel ni five star hotel to ee
Nipo mikoaniWaafrika tuna uhaba wa Milo. Tunakula ili tuishi, hatuli kufurahia uumbaji wa Mungu.
Kama uko Dar tembelea migahawany Kichina, Kihindi, Kikorea, Kiarabu na hata Ile ya Kizungu uone wenzetu wanavyokula
Ni kweli aisee nimeenda nchi nyingine mkate ni chakula , sio sisi huku mkate lazima na chaihatari sana wengine hata ulivyoviandika wanavipata wa shida
kazi kweli kweli/jobtruetrue
tafuta hela mpaka uwe unauweza wakulala hotel zakulipia dollar 500 kwa siku halafu wewe unakaa wiki mbili,hutawaza ugali,wali hivyo vyakula utakuwa unavihamu tu! tena unamgombeza mtu kukupikia maana anaona sio kupika ni kupigana!..🤣Nitafte Hela ziwe shilingi ngapi mzee ili nikwepe, sababu iwe hotelini wapi menu zinaishia humo
Try to think out of the box. Huko hata uyoga unauoata kwa bei chee, Dar kilo ya uyoga ni 20kNipo mikoani
iwe nyumbani au hotelini au kwa mama ntilieNimejikuta hivi vyakula ni sehemu ya mlo wangu karibu Kila siku, ukiwa nyumbani utakuta pamepikwa , uingie mtaani hadithi ni Ile Ile, nimevichoka ila sasa sielewei najinasuaje , vyakula hivi ni 1. Wali 2. Ugali 3. Chips 4. Chapati 5. Ndizi na mboga hizi 1. Nyama 2. Samaki( samaki na dagaa) 3. Maharage 4. Mboga a majani marufu kama Chinese, vip unatoboaje na unavikwepaje, je unaweza toboa wiki usikutane na hiyo menu hapo juu,. Nimefanikiwa kukata matumizi ya soda na beverages nyingine nyingi, natumia maji tu ila kuhusu vyakula imekuwa kazi ngumu ,nenda mgahawani kwa mama lishe to hotelini misosi ni hiyo hiyo
Hata Mo dewji hafanyi ujinga huo wa kukaa hoteli kwa gharama hizo , ni mara moja Moja zaidi ya hapo utakuwa mshamba wa pesa, na nahisi pesa huzijuitafuta hela mpaka uwe unauweza wakulala hotel zakulipia dollar 500 kwa siku halafu wewe unakaa wiki mbili,hutawaza ugali,wali hivyo vyakula utakuwa unavihamu tu! tena unamgombeza mtu kukupikia maana anaona sio kupika ni kupigana!..🤣
Tafuta hela wewe kelele za niniHata Mo dewji hafanyi ujinga huo wa kukaa hoteli kwa gharama hizo , ni mara moja Moja zaidi ya hapo utakuwa mshamba wa pesa, na nahisi pesa huzijui
Mwanafunzi wewe na gen Z ndio mnaokazna kusema tafta pesa, hivi Kuna binadamu hatufuti pesa duniani,sijui kizazi chenu Dunia itakuwajeTafuta hela wewe kelele za nini