Unalizungumziaje jina la Miriam aka Miri?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Nimewamiss wana MMU kituo changu cha kwanza nilipoingia JF
Naamini majina huendana na tabia na hata mwonekano wa mtu na hata viwango vya kimaisha bila kusahau uzuri
Kwa uzoefu wako unalizungumziaje jina la MIRIAM aka MIRI?
 
Umbuje
 
Super-Model-Miriam-Odemba..jpg
p.jpg
MI0002932527.jpg
baadhi ya akina miri
 
Miriam!!!
Mpole na mtanashati. Nadhani wengi ni wang'aavu au maji ya kunde sio weusi.
Kimaisha wapo kati, si tajiri wala masikini
 
Back
Top Bottom